Prezzo amerudi jijini Nairobi siku ya jana, baada ya kuwa na familia ya
Goldie kwa kuwafariji na kuwa nao katika kipindi hiki kigumu.Prezzo
alipanda ndege wiki iliyopita February 14 akitegemea kuwa na sweet
valentine date na Goldie, ambae kwa bahati mbaya alifariki muda mfupi
kabla ndege yake haijatua Lagos.
Na katika kujibu swali la kama ni kweli au si kweli kafukuzwa na
familia ya Goldie, jibu ni hapana hakufukuzwa, na kuhusu mume wa Goldie
"Andrew Harvey" Prezzo alisema, nagitaji kupumzika kwa sasa hivi na siko
tayari kwa mahojiano, nitawajulisha wote wakati nitakapo kuwa tayari..
SOURCE DJ FETY
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA