Wadau kutoka TTB ambao pia walikuwa ni miongoni mwa wanakamati ya maandalizi wakiwa katika picha ya pamoja
.Tanzania imefanikiwa kushinda
kupitia vivutio vyake vitatu vya utalii ambavyo ni Mlima Kilimanjaro,
Ngorongoro Crates na Mbuga ya wanyama ya Serengeti, hafla hiyo
imehudhuriwa na wageni waalikwa mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mabalozi,
Wafanya biashara,Mawaziri, Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania na wadau mbalimbali wa utalii kutoka Mataifa mbalimbali katika
ukanda wa Afrika Mashariki

Waziri wa
Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akizungumza na Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo Bibi Maimuna Tarishi katikati ni msaidizi wake Bw.
Miskanji
Waziri
Mkuu akiwa meza kuu pamoja na viongozi wengine wakati wa utoaji wa tuzo
hizo za Seven Natural Wonders jijini Arusha jana jioni., kutoka kulia ni
Magesa Mulongo mkuu wa Mkoa wa Arusha, Agness Agunyu Waziri wa Utalii
kutoka nchini Uganda na kutoka kushoto ni Bw. Philip Imler kutoka
Taasisi ya Seven Natural Wonders na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi
Khamis Kagasheki
Waziri wa
Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akizungumza na mbunge wa
jimbo la Arusha Mjini Bw. Godbless Lema; kabla ya kuanza kwa hafla hiyo
Mabalozi
mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo wa kwanza kutoka kulia ni
Balozi Mutinda Mutiso Balozi wa Kenya Nchini Tanzania
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akipiga makofi mara baada ya kumkabidhi tuzo
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa TANAPA Bw. Allan Kijazi anayenyanyua juu
juu tuzo ya Mbuga ya wanyama ya Serengeti mara baada ya kuitangaza mbuga
hiyo kuwa ni moja ya maajabu saba ya asili katika bara la Afrika kwenye
hoteli ya Mount Meru, Kushoto ni Bw Philip Imler Mwanzilishi wa Taasisi
ya Seven Natural Wonders Bw. Philip Imler
Source : Mjengwablog.com
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA