Tuesday, February 12, 2013

"MIMI SI MCHAWI...SIRI YA MAFANIKIO YANGU NI MAMA YANGU.."DIAMOND


Huenda ile story ya kwamba Diamond amepata na anaendelea kupata mafanikio kutokana na kutumia waganga wa kienyeji si kweli!! You never know! Staa huyu ambaye gazeti la Daily Nation limemtaja kuwa miongoni mwa wasanii wa Bongo Flava matajiri zaidi, yupo karibu mno na mama yake mzazi na pengine ndio maana anafanikiwa, nani kama Mama? Vipi kama mafanikio yake ni thawabu halisi kutoka kwa Mwenyezi Mungu? Hizi ni picha ambazo Diamond ameziweka kwenye website yake na kuandika kwenye moja ya picha hizo: Siku zote kabla ya kwenda popote lazima tupitie kwa mama yetu mpendwa atupe Barka zake
Hii ndo Ilikuwa Outfit ya Jumapili....!!

skuzote kabla ya kwenda popote lazma tupitie kwa mama yetu mpendwa
 atupe Barka zake....!!
Nikipokea baraka za Mama ....Nijaliwe Mema....na  Niende kwa Amani...!!
WASAFIIIII......!!

1 comment:

  1. Hizo ni story za town wa2 hawapendi maendeleo ya w2 wengne dnt knw y. Bt i have faith dat he works hard dats y he got more dan em.

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO HAPA