Maafisa
wa kikosi hicho walijitosa kuhakikisha moto huo hausambai katika maeneo
mengine ya Meli ya Mv Victoria ambapo walifanikiwa kuuzima huku ukiwa
tayari umeteketeza magodoro yote pamoja na mito ya makochi iliyokuwa
katika chumba cha kuhifadhia mizigo.
Juhudi zikiendelea kwa maafisa wa kikosi…
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA