Friday, February 8, 2013
WAREMBO WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 KUANZA ZIARA WIKI IJAYOs
WAREMBO wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wiki ijayo wataanza ziara
ndefu ya kutembelea Hifadhi za Taifa na vivutio vya utalii katika mikoa
ya Dar es Salaam, Morogoro, Mtwara, Lindi na Pwani. Vivutio hivyo ni
pamoja na Hifadhi za Taifa za Mikumi, Udizungwa, Saadani, Selous, pia
maeneo ya kihistoria ya Bagamoyo, Amboni, Kijiji cha Makumbusho,
Makumbusho ya Taifa, Pugu Sekondari, maeneo mengine ni ufukwe wa
Kigamboni, soko la kimataifa la Magogoni, Uwanja wa Taifa na sehemu nyingine nyingi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA