Habari
zilizotufikia hivi punde ni kwamba kuna Ajali iliyotokea jioni ya jana
saa 11.Watoto saba,Dreva na mama mmoja wa kimasaai na watoto wake wote
wamefariki dunia.Wanafunzi 7 waliofariki wakilikuwa wamepanda gari(lift)
wakitokea shule Chalinze sekondari wakielekea maneo ya Mdaula.
Gari walilopata lift linanamba za usajili hizi T363 AZG
src dj sek
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA