NIGERIA BINGWA AFCON 2013 …
Wachezaji
wa Nigeria wakifurahia kombe lao baada ya kuifunga Burkina Faso bao 1-0
katika fainali ya Kombe la Mataifa Afrika. Mchezo huo umepigwa leo
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Johannesburg, Afrika Kusini ambapo Nigeria
wametwaa kombe hilo baada ya miaka 19.
Kipa
wa Burkina Faso, Daouda Diakite na Paul Koulibaly wakijaribu kuokoa
hatari langoni mwao pembeni ya mshambuliaji wa Nigeria, Aide Brown Ideye
(kushoto) wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa Afrika
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA