Hii ndio ilikua dresscode ya siku hiyo |
Moja ya Silaha zangu kwenye stage kushoto Emma & Mpauka |
Bhaaaasssss.. |
Men in Black n White.... |
Wananchi wa Kigoma Tupo Pamoja........??? |
Makamuzi Yakiendelea stejini.......!! |
Wakati mwingine Mashetani yananipandaga nakua ulimwengu mwingine kabisa.......! |
Aaaagha Kidoogo......! |
Ni Step by Step... Mpelampela.......!! |
Eeeti nani Amenuunaaa.... Oooh nani Amenuunaa...!? |
Mmh! mashabiki nao jamani hadi kwenye gari..... |
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA