Gari la Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya
Nje Ulinzi na Usalama Edward Lowassa likiwa limebonyea kwa ubavuni baada
ya kupata ajali iliyotokea jana asubuhi.
--
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama Edward Lowassa Mh. Edward Lowassa amenusurika
kifo,baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kupata ajali eneo la Bwawani mkoani Morogoro.
Gari hilo la Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama Edward Lowassa liligongwa na basi
la Morobest, wakati basi hilo lilipolipita basi jingine kwenye daraja na
kukutana uso kwa uso na gari lakini dereva wa Mh. Lowasa kwa ustadi
mkubwa alilikwepesha gari lisigonge upande alipokuwa amekaa mzee na
kuligonga ubavuni nyuma kwa upande wa dereva na hakuna
aliyejeruhiwa.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama Edward Lowassa na
msafara wake aliendelea na safari hadi
morogoro ambako ameshiriki katika harambee ya ujenzi wa kanisa la KKKT
Kilakala ambapo yeye na Marafiki Zake Wamechangia Shilingi Milioni 18
SOURCE: MPEKUZI
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA