BREAKING NEWS!! MSANII WA BONGO FLEVA BUI BUI APATA AJALI YA PIKI PIKI AVUNJIKA MIGUU YOTE
BREAKING NEWS!! MSANII WA BONGO FLEVA BUI BUI APATA AJALI YA PIKI PIKI
AVUNJIKA MIGUU YOTE MIWILI NA MIKONO KUJERUHIKA VIBAYA SANA YUPO
MAHUTUTI MUHIMBILI WODI YA KIBASILA,WATANZANIA TUSHIRIKIANE KUMWOMBEA
HALI YAKE NI MBAYA SANA.
source: HK
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA