Sunday, January 27, 2013

AJALI KUBWA YA MOTO YATOKEA CLUB YA USIKU, WATU 232 WAMEKUFA......SO SAD

 Watu wanaokadiriwa kuwa 232 wamefariki dunia katika ajali ya moto iliyotokea ndani ya night club moja huko Brazil na idadi ya vifo inakadiriwa kuongezeka kadri muda unavyokwenda. Moto huo ametokea katika klabu ya usiku inayojulikana kama THE KISS CLUB katika Mji uitwao Santa Maria. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana laikini inasemekana kuwa ni matatizo ya hitilafu katika klabu hiyo. Tazama picha zaidi za habari hii hapa


 People run to safety and try to rescue others after a massive inferno tore through a Brazil nightclub in the early hours of this morning killing at least 232 people


Appalling loss of life: Firefighters work to douse a fire at the Kiss Club in Santa Maria city, Rio Grande do Sul state, Brazil, where hundreds of people died  

Firefighters battle to put out the fire which tore through the Kiss Club in Santa Maria, southern Brazil 


Rescue: Emergency services filled the street outside the club's entrance as more bodies were pulled from the charred building 


Carnage: Locals help evacuate injured victims as clubbers look on in horror following the nightclub fire 

Overcome: Police, ambulance staff and firefighters helped the victims receive medical assistance in a street outside the Kiss Club

Devastation: Relatives of victims cry in the street after news of the fire is made public 

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA