Wednesday, January 23, 2013

HII NDIO STORY YA HUSEIN MACHOZI NA MISUKOSUKO YA MAISHA ILIYOMPATA MPAKA HAPA ALIPO....

Hakika katika maisha hutakiwi kukata tamaa, story ya Husein Machozi inatoa fundisho hasa kwetu sisi vijana ambao ndiyo tumeanza kuyatafuta maisha kupitia vipaji mbalimbali ambavyo mungu katujalia, Husein Machozi kwa sasa anaonekana ni mtu wa mafanikio kimuziki lakini safari aliyopitia ni ngumu sana, alifikia hatua ya kuwa analala nje, akaamua kucheza mpira pia kipaji ambacho anasema ndiyo Mungu alichomjalia zaidi hata ya kuimba, katika mpira nako alikutana na kashi kashi nyingi ambazo zilimfanya aache na kuingia kwenye mziki.......HEBU SIKILIZA MWENYEWE ALIPOKUWA AKIELEZEA HISTORIA YA MAISHA YAKE KATIKA KIPINDI CHA LEO TENA CHA CLOUDS FM....NAHISI WEWE KAMA KIJANA UTAPATA SOMO KUPITIA HII STORY

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA