Wednesday, January 23, 2013

GARI MPYA YA WEMA SEPETU

Hivi punde muigizaji wa filam hapa nchini  WEMA SEPETU kaioneshea uma picha ya gari yake AUNDI Q7  mpya inayokadiliwa kuwa na gharama ya sh milioni 70 na kuendelea, picha hizo aliweka kwenye acount yake ya instagram ambazo alipiga akiwa beach na kuziwekea caption MY BABY AT THE BEACH,,

3 comments:

TOA MAONI YAKO HAPA