Thursday, January 17, 2013

KANITOA MBALI

Anaitwa ABDALA HAMIS  nilishiriki nae mashindano ya TIKISA DANCE mwaka2011, nilikuwa sijui kucheza na sijui chochote abt dance, alipoteza muda wake mwingi kunifundisha hadi leo nikisimama sehemu kudance watu wanakubali, nimejifunza mengi toka kwake sio siri naweza kwenda nchi yoyote nikawa free na muziki wao na nikacheza stairi zao zozote,, nikitu cha ajabu sana ila namshukuru mungu kupitia huyu nimejua aina nyingi za dancing, watu wengi wanaona dancng ni kitu kama uhuni ila mi nawasibitishia kuwa dance ni kazi na inaweza kubadilisha maisha yako,, ONE LOVE ABDALA { dula

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA