Wednesday, January 16, 2013

MUZIKI BILA MARAFIKI UTAANGAIKA SAANA

Unaweza ukawa msanii mzuri ila ukashindwa kusonga mbele,, marafiki wanasaidia kama ushauri kusapot kaz na kunifanya niwe hap popote, hata uwe na pesa bila marafiki ni sawa na bure maana rafiki ni rafiki hata kama masikini,, Hawa ni baadhi ya marafiki zangu walionisaidia kukamilisha nyimbo yangu ya NIPENDE MILELE, Nawashukuru sana maana walijitoa kwa ajiri yangu na naheshimu mchango wao na nawapenda saaana,, Bado nahitaj marafiki wengi ili nifike mbaaali,, NAWAPENDA

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA