Tuesday, January 22, 2013

MLIO WA RISASI NYUMBANI KWA CHRISS BROWN, JAMAA ASAKWA NA POLIS

POlis hollywood marekani wanamtafuta jamaa aliewafanya wakimbie kwa kasi kuwah nyumbani kwa mwanamuziki CHRISS BROWN, Inasemekana kuwa jamaa huyo alipiga simu polisi na kurepot ugomvi nyumbani kwa CHRRISS, alisema alisikia kelele za majibizano ya mwanamke na mwanaume na baadae akasikia mshindo wa risasi hivo akapiga simu polis kwa kutaka msaada, ugomvi huo jamaa alirepot kuwa ni ugomvi wa CHRISS na Rihhana ambao wanadaiwa kulirudia penzi lao ambapo mwanzoni waliachana kwa kesi ya CHRISS kumpiga RIHHANA, baada ya polisi hao kufika mapema kwa NYUMBANI kwa mwanamuziki huyo walisema hawakukuta chochote kilicho endelea wala dalili ya kuonekana kama  kulikuwa na ugomvi na hata CHRISS pia wakati huo hakuwepo nyumbani, kwa habari kutoka kwa majirani ni kuwa hawakusikia mlio huo wa risasi na pale hali ni shwari, Hivo kwa sasa polis wanamsaka kwa hali na mali huyo jamaa aliepiga simu na kutoa taarifa hiyo ya ugomvi na kuwapotezea muda.

1 comment:

TOA MAONI YAKO HAPA