Wednesday, January 16, 2013

MSANII KIOO CHA JAMII, USAFI NI MUHIMU

Napenda saana kuvaa saana na pia napendelea fashion mbalimbali navaa kila aina ya nguo kulingana na wakati na mahali,, najifunza kuishi maisha kama star japo bado ni chipkizi napenda kuonekana smat na msafi mda wote,, pia natamani sana kuwa mwanamitindo niweze kudizain nguo zangu mwenyewe na kuziuza, mimi ni mrefu so mara nyingi navaa simple shoes mara chache saana ndio navaa viatu virefu, pia napenda kupemdezesha nywele zangu popote niendapo,, ukiwa msanii lazima uonekane smart popote coz wote tunajua kuwa msanii ni kioo cha jamii so usafi ni muhimu,

2 comments:

  1. Kumbe una blog yako safi sana candy its edson from facebook!!basi nitakuwa naitembelea

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO HAPA