Thursday, January 24, 2013

PRODUCER LAMAR AIBUA KUNDI JIPYA LA WADADA 'SHOSTEEZ'

 


Muda mchache baada ya Producer Lamar kutangaza kuwatafuta wadada watatu, wenye uwezo wa kutumia sauti zao, ready kwa ajili ya kuunda kundi la wadada hao,sasa Teaser ishatoka na wadada watatu washapatikana, ambao amewapa jina la Shosteez. check na teaser hiyo hapa chini. 

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA