Wednesday, January 23, 2013

TAZAMA PICHA ZA IBADA ILIYOFANYIKA KWA AJILI YA KUMUAGA MWANAFUNZI ALIYEUAWA HUKO ST. JOHN'S DODOMA


Marehemu mama yetu na mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO
Hapa wanafunzi pamoja na walimu wakijipanga kuupokea mwili wa marehemu mama yetu, mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO
Wanafunzi wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kuupokea mwili wa marehemu Lydia tayari kwa kuuaga katika ukumbi wa chuo



Uzuni majonzi ndio iliyotawala moyoni mwetu kwa kumpoteza mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO
Padre Kijagi akiongoza ibada ya kumwombea marehemu



Wanafunzi wakiwa ukumbini kwa ibada ya kumuaga mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO
Sisi sote ni wake Mola na kwake tutarejea, tulimpenda sana LYDIA LEO ila mwenyezi Mungu amempenda zaidi, Bwana alitwa na bwana ametoa. Twamuomba Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen. Mwili wa marehemu umesafirishwa kuelekea Matombo mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA