Monday, January 28, 2013

UKATILI HUU UTAISHA LINI?? APIGWA RISASI KWA UGOMVI WA SH. 100 YA MAJI


MKAZI wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa alishindwa kumlipa

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA