Saturday, February 16, 2013

PICHA YA MTOTO WA BEYONCE NA JAY Z ILIYOVUJA NDIO HII.

Posted: 16th February 2013 by MillardAyo in News
1
Pamoja na kwamba mwimbaji Beyonce akiongea na E! news hivi karibuni aliahidi kulinda mtoto wake asionekane sana kwenye media, wajanja wa media wamefanikiwa kuinasa hii picha wakati wa makala maalum inayomuhusu Beyonce.
Blue Ivy Carter ana umri wa mwaka mmoja sasa hivi.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA