Sunday, February 10, 2013

SHOW YA UFUNGUZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA...!!


Hii ndio ilikua dresscode ya siku hiyo
Moja ya Silaha zangu kwenye stage kushoto Emma & Mpauka
Bhaaaasssss..

Men in Black n White....
Wananchi wa Kigoma Tupo Pamoja........???
Makamuzi Yakiendelea stejini.......!!
Wakati mwingine Mashetani yananipandaga
nakua ulimwengu mwingine kabisa.......!
Aaaagha Kidoogo......!
Ni Step by Step... Mpelampela.......!!


Eeeti nani Amenuunaaa.... Oooh nani Amenuunaa...!?


Mmh! mashabiki nao jamani hadi kwenye gari.....

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA