Sunday, February 10, 2013

NIGERIA BINGWA AFCON 2013 …

Wachezaji wa Nigeria wakifurahia kombe lao baada ya kuifunga Burkina Faso bao 1-0 katika fainali ya Kombe la Mataifa Afrika. Mchezo huo umepigwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Johannesburg, Afrika Kusini ambapo Nigeria wametwaa kombe hilo baada ya miaka 19.
Kipa wa Burkina Faso, Daouda Diakite na Paul Koulibaly wakijaribu kuokoa hatari langoni mwao pembeni ya mshambuliaji wa Nigeria, Aide Brown Ideye (kushoto) wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa Afrika

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA