Wednesday, February 27, 2013

TICKETS KWA AJILI YA TOUR YA BEYONCE UK ZIMEKWISHA NDANI YA DAKIKA 10

SOURCE: DJ FETTY

 
Sekunde kadhaa baada ya tiketi kuingia sokoni kwa ajili ya UK world tour  ya Beyonce inayoitwa "Mrs. Carter" siku ya juma mosi asubuhi,kuuzika zote ndani ya dakika 10 (sold out) mashabiki waanza kufurika kwenye internet na malalamiko kwamba kila show ticket zimeisha na watu wamejitosheleza (sold out)
Beyonce Mrs. Carter Tour Promo Shot 

lakini masaa machache baadae, scores za ticket zimeanza kujionyesha kupitia katika sites za brokers wakiziuza kwa paund 660 kila moja, ambayo ni zaidi ya shilingi 1,500,000 za kitanzania, na muuzaji mmoja akiuza ticket 6 kwa paund 2,000 kupitia eBay.
 kuuzika kwa ticket hizo na kumalizika ndani ya dakika 10, kunasababisha kuwepo kwa tuhuma kuwa inawezekana Beyonce na uongozi wake wamezinunua wenyewe, kama justine Beiber na Taylor Swift ambao walikamatwa wakifanya hivyo mwaka jana

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA