Friday, February 1, 2013

WEMA SEPETU KUSHIRIKI BIG BROTER AFRICA MWAKA HUU

 
Taarifa kutoka ofisi za DSTV jijini Dar es Salaam zinadai kuwa aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu alikuwa katika ofisi hizo kuchukua fomu za kushiriki shindano la Big Brother Africa mwaka huu.
Wema ni miongoni mwa mastaa nchini wanaopendekezwa zaidi kuiwakilisha Tanzania mwaka huu. Mwingine anayependekezwa zaidi ni Khaleed Mohamed aka TID

1 comment:

  1. wema anaweza kuishi her real life in da house

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO HAPA