Thursday, March 7, 2013

MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI "ABSALOM KIBANDA" APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABUMwenyekiti wa Jukwaa la Wahahariri na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd,Absalon Kibanda akipakiwa kwenye ndege ya Kampuni ya Flightlink tayari kwa safari ya kwenda nchini Afrika Kusini kwa Matibabu baada ya kuvamiwa usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana na kujeruhiwa vibaya,alipokuwa akirudi nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA