ukiwa
na nia na kazi unayofanya lazima ujiwekee malengo na uwe na uhakika na
unchofanya.. mziki wangu unanifanya nifikilie mengi kila ninapoamka.
nashukuru mungu ninakipaji cha kuandika sio siri nimeweza kuandika
nyimbo zangu nyingi sana ambazo baadhi nimerecod na zingine nyingi bado
cjarecod, huwaga namshukuru mungu saana a hili kwan amenipa upeo wa
kuandika na kuchanganua kwa sasa ninanyimbo ambazo 12 tayari nimerecod
na nyingine nyingi sana cjazirecod
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA