Thursday, February 28, 2013

HUZUNI: AJALI KIWANDA CHA MAZAVA MOROGORO   Suma na Asha wakiwa hoi baada ya kufikishwa wodi namba 3 hospital ya mkoa wa Morogoro,baada ya kiwanda cha kutengeneza nguo za Michezo cha Mazava kilichopo Msamvu mkoani hapa  kupata hitiafu ya umeme leo asubuhi         Mmoja wa mareuhi hao akiwa hoi wodi namba 3 hospital ya mkoa wa Morogoro


                                      Muuguzi akimuhudumia Bi Nyamile Matai


  Baadhi ya Ndugu na jamaa wa wafanyazi ho ambao baada ya kupata taarifa hizo walifurika hospital ya mkoa wa Morogoro na kuwashuhudia ndugu zao kupitia madirishani kama walivyonaswa        Majerehi huyo jina lake halikupatikana kutokana na hali yake kuwa mbaya


  Wauguzi wakiwahudumia majeruhi hao wa kiwanda cha Mazava Everin Misaki[kulia] na Dotto Jumanne


                 Bi Asha Ally akiwa hoi wodi namba 3 hospital ya mkoa wa Morogoro


Bi, Subira Juma Athumani[kushoto] akiwa na majeruhi wenzake ambao waligoma kutaja majina yao na kupigwa picha.
 
SOURCE : DJ SEK

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA