Thursday, February 28, 2013

TAARIFA KUHUSU BIFU LA OMOTOLA NA GENEVIEVE NNAJ NA PICHA WALIZOONEKANA PAMOJA...!!


Stori za kuaminika kutoka kwenye ardhi ya Nigeria ni kuwa Lile bifu kati ya Omotola
na Genivieve Nnaj Limeisha na Juzi Geniviev kuonesha uhasama umekwisha alifika
kwenye suprise party ya Omotola Jelade kama Inavyoonekana kwenye picha hizi...!!
Omotola na Genevieve Nnaji.

source: WASAFI

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA