Wednesday, February 27, 2013

KOCHA WA AZAM AFUNGIWA KWA KUVUA BUKTA NA KUBAKI NA KICHUPI UWANJANI, PIA ALIMWA FAINI YA SH. 500,000 NA TFF..!Kocha Stewart Hall wa Azam akibebwa na wachezaji wake baada ya kutwaa Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar.

Stewart Hall
Kocha wa Azam, Stewart John Hall amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya Sh. 500,000 kwa kwa kosa la kushusha bukta yake huku akimlalamikia refa msaidizi wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya timu yake na Kagera Sugar iliyochezwa Januari 26 kwenye Uwanja wa Azam Complex ulioko Chamazi jijini Dar es Salaam.
SOURCE DJ SEK

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA