Friday, March 1, 2013

MWANAMKE ABAKWA BAADA YA KUCHANGANYIWA MADAWA KATIKA POMBE YAKEHuyu ni  mrembo aliyekuwa amepata  mwaliko toka kwa jamaa mmoja ambaye  walijuana  katika  birthdaya  ya rafiki yake.....

Inadaiwa kuwa Binti huyu  anasifika  kwa  kuwachuna wanaume  wanaoigia  katika  anga  zake  na  kuwatelekeza.Bahati mbaya  msimu  huu haukuwa  wake  baada  ya  kuwekea  madawa  ya  kulevya  katika  kinywaji  chacke......


Binti hakuweza  kuusoma  mchezo  maana tayari  pombe ilikuwa imeshaanza  upanda  kichwani....Baada  ya  muda, mrembo  alikuwa  hoi  bin  taabani  na  ndipo wavulana hao walipombeba na  kumbaka  na  kisha  kumwacha

source MPEKUZI 

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA